OneTV.ng

Bitange Ndemo awataka vijana kutumia teknolojia kukuza biashara na…

NTV Kenya

Aliyekuwa katibu wa wizara ya habari na mawasiliano, Bitange Ndemo, amewataka vijana kutumia teknolojia kukuza biashara na kuimarisha uchumi wa kenya na afrika kwa ujumla.