OneTV.ng

Kakamega: Wakazi walalamikia unyakuzi wa ardhi ya umma

NTV Kenya

Suala la unyakuzi wa ardhi ya umma lilitawala kikao cha tume ya kitaifa ya ardhi (NLC) kaunti ya Kakamega, wakazi wakitaja visa mbalimbali vya ardhi ya umma ilitotwaaliwa na watu binafsi.