KPA yatoa bidhaa muhimu zenye thamani ya shilingi 500,000 kwa Kituo…
NTV Kenya
Mamlaka ya Bandari nchini, KPA, imetoa bidhaa muhimu zenye thamani ya shilingi laki tano kwa Kituo cha Uokoaji Watoto cha Nairobi, kwa lengo la kuboresha maisha ya watoto walio katika mazingira magumu.