OneTV.ng

Maafisa wa KDF watembelea Kibra na kutoa msaada kwa jamii

NTV Kenya

Kikosi cha jeshi kutoka kambi ya Lang'ata Nairobi kimetembelea kituo cha watoto yatima katika mtaa wa Kibra kuwapa faraja na kuonyesha upendo wa kijamii.