OneTV.ng

Mahakama yasema ardhi ya ekari 27 inayomilikiwa na Hospitali ya…

NTV Kenya

Mahakama yaamua kuwa ardhi ya ekari 27 inayomilikiwa na Hospitali ya Nakuru War Memorial ni mali halali ya usimamizi wa hospitali hiyo, na kutupilia mbali madai ya serikali ya kaunti ya Nakuru ya kutaka kuichukua.