Mbunge Kawaya ataka Kalonzo kushirikiana na Ruto
NTV Kenya
Mbunge wa Mwala na Katibu Uratibu wa UDA, Vincent Kawaya, sasa anamtaka kiongozi wa Wiper, Kalonzo Musyoka, kuachana na upinzani na kushirikiana na serikali ya Rais William Ruto .