OneTV.ng

Rais William Ruto aendeleza ziara yake ya Kaskazini mwa Bonde la Ufa

NTV Kenya

Rais William Ruto aendeleza ziara yake ya Kaskazini mwa Bonde la Ufa, huku leo akirejea katika kaunti za Trans Nzoia na Pokot Magharibi kuzindua na kukagua miradi mbalimbali wakati uo huo akiwahutubia wenyeji.