Rais William Ruto atia saini miswada miwili ya marekebisho ya sheria…
NTV Kenya
Rais William Ruto atia saini miswada miwili ya marekebisho ya sheria za ushuru na Mamlaka ya Ukusanyaji Ushuru nchini, inayolenga kupunguza gharama ya mafuta, kushusha gharama za ujenzi na kuimarisha ukusanyaji wa mapato.