Sebastian Coe awataka mashabiki kujaza uga wa Kasarani wakati wa…
NTV Kenya
Rais wa shirikisho la riadha la dunia Sebastian Coe amekiri mashindano ya dunia ya riadha ya 2029 yatakuwa na mafanikio iwapo mashabiki watajitokeza na kujaza uga wa Kasarani.