Serikali yatakiwa kuimarisha ulinzi wa umeme katika eneo la Athi River
NTV Kenya
Serikali inatakiwa kuimarisha ulinzi wa umeme katika eneo la Athi River kufuatia ongezeko la wizi na uharibifu wa vifaa vya TRANSFOMA, hali ambayo imeathiri shughuli za biashara na masomo.