OneTV.ng

Shughuli za kawaida za Bunge la Kaunti ya Machakos zakwama kutokana…

NTV Kenya

Huenda Shughuli za kawaida za Bunge la Kaunti ya Machakos zikakwama, kutokana na ukosefu wa fedha za kuendesha shughuli zake, huku mvutano kuhusu bajeti ya kaunti ukizidi kuongezeka.