Utafiti wabaini mapungufu makubwa katika elimu ya watoto nchini
NTV Kenya
Utafiti mpya wa elimu umebaini mapungufu makubwa katika elimu ya watoto nchini, huku asilimia 42 ya watoto wenye ulemavu wenye umri wa miaka 5 hadi 18 wakiwa nje ya shule.