Wakaazi wa Elang’ata Mashuru wachimbiwa maji ya kisima
NTV Kenya
Wakazi wa Elang’ata Mashuru, Kaunti ya Kajiado, wamepata afueni ya upatikanaji wa maji kufuatia kuchimbwa kwa kisima kwa ushirikiano na mashirika ya kijamii, hatua inayolenga kuimarisha usambazaji wa maji vijijini.