Wanawake wa kiislamu wasema ardhi yao imenyakuliwa Narok
NTV Kenya
Kikundi cha wanawake wa kiislamu katika kaunti ya Narok kinaomba mamlaka husika kuingilia kati katika mgogoro wa ardhi kati yao na mwekezaji ambaye wanadai amejipatia shamba lao .